JUSTDIGGIT NDANI
YA UJERUMANI

Septemba 2019 tulizindua pamoja na kampeni yetu ya kwanza huko Ujerumani pamoja na mshirika wetu wa media Havas Ujerumani.

Kampeni hii ya uhamasishaji ilitengenezwa kukuza suluhisho za asili kwa umma wa Wajerumani, kuwafahamisha na Justdiggit na kuwashawishi wajiunge nasi kwenye dhamira yetu ya kuupoza ulimwengu.

Tangu tulipoanza kampeni yetu ya kwanza huko Ujerumani, tumeendelea kuwa na uwepo wa kudumu nchi nzima kwenye mabango, runinga za kidigitali, runinga, vyombo ya kijamii, na pia kupitia matangazo ya kidigitali.

poster

Meet Thomas D.

Balozi wetu wa Ujerumani

Ili kufanikisha kampeni yetu ya kwanza kabisa ya Wajerumani, tumeungwa mkono na washirika wetu wazuri wa vyombo vya habari na balozi wetu mzuri Thomas D. Kama balozi wa Justdiggit, yeye hutusaidia kueneza ujumbe wetu wa kukijanisha kote Ujerumani! Mtazame aking’aa katika kampeni yetu ya hivi karibuni ya runinga ya Ujerumani.

WASHIRIKA

Washirika wetu ndani ya Ujerumani

Washirika wetu wote

NJIA YETU

Jinsi tunavoendesha kampeni zetu

Ikiwa unataka kuanza harakati, unahitaji kuwa kila mahali: habari, matangazo, yaliyomo, vituo vya kijamii, mazungumzo, na zaidi ya yote katika mioyo na akili za watu. Justdiggit hutumia nguvu za kila aina ya njia za vyombo vya habari na mawasiliano ili kufanya hivyo; kuunda ufahamu, uelewa na kuleta suluhisho la mabadiliko ya hali ya hewa, yote kwa mtazamo mzuri.

KAMPENI NDANI
YA UJERUMANI

Kampeni zetu za uhamasishaji

Kampeni zetu za ufahamu wa  ndani na nje ya mtandao zinatengenezwa ili kukuza njia za asili na kuhamasisha, kuunganisha na kuamsha kizazi kizima na kukuza harakati za kuongoa mazingira.

KAZI ZINGINE

Kazi zetu zote