Habari, sisi ni
Justdiggit
Tunaamini katika nguvu ya uhalisia katika kuipooza dunia pamoja kwa kukijanisha ardhi iliyoharibika na kurejesha mimea. Dhumuni letu ni kuijenga tena Afrika katika miaka 10 ijayo, pamoja na wakulima wote milioni 350, na wewe pia.
Ili kushinikiza hali ya asili, tunawezesha na kuunganisha harakati za mamilioni. Hadi sasa, tumerejesha hekta 60,000, tumerudisha zaidi ya miti milioni 9, na tumejenga harakati kuanzi ngazi ya chini na zinazoongezeka kila siku. Tunaamini sasa ni wakati wa kuharakisha na kuongeza kasi! Hakuna kuongea tena. Hakuna kusubiri tena. Huu ndio Muongo wa Kufanya. Chimba na upooze sayari na sisi!