FIKIRIA AFRIKA KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA MWAKA 2030 IKIWA NA UTAJIRI WA KIJANI NA UBARIDI

Fikiria kuweza kuwahamasisha na kuwawezesha mamiloni ya wakulima wadogo kurejesha ardhi zao kwa kutumia mbinu zilizo thibitika za usimamizi endelevu wa matumizi ya ardhi.

Je! Unaweza kufikiria athari kubwa ambayo itakuwa nayo katika upatikanaji wa mavuno ya mazao, mapato ya kaya, bioanuwai, upatikanaji wa maji, hali ya hewa ya maeneo husika  na mabadiliko ya hali ya hewa ulimwenguni? Na inaweza kufanyika, badala ya kusonga polepole kutoka eneo moja hadi lingine ardhini, kwa kuhamasisha kila mtu pamoja katika harakati moja iliyounganishwa, ya kimataifa?

Inayoleta pamoja mashirika yasiyo kiserikali , serikali, na makampuni ndiyo ambayo yameunganisha mkulima ndani ya Senegal na  mwingine ndani ya Malawi?

Ndani ya  Justdiggit, dhamira yetu ni kukijanisha Africa  ndani ya muongo mmoja ujao, na lengo letu ni kuhamasisha na kuwapa watu nguvu ulimwenguni kote kujiunga nasi.

Tanzania _ Justdiggit

TUNAPANUA WIGO WA KUONGOA MNADHARI YA ARDHI NDANI YA AFRIKA

Kazi zetu zinajumuisha kufungamanisha mbinu za kuongoa mandhari  ya ardhi na nguvu ya vyombo vya habari , mawasiliano, taarifa na tekonolojia ya simu. Juhudi zetu za kuongoa ardhi kwa kupitia mtandao mkubwa wa  vyombo vya habari  vya kimataifa kwa ajili ya kupanua wigo. Pia tunashirikiana na washirika wa ndani, kitaifa na kimataifa na wenye juhudi

KWANINI AFRIKA?

Over twZaidi ya theluthi mbili ya ardhi barani Afrika imeharibika. Walakini, Afrika pia ina uwezo mkubwa zaidi wa kurejesha uoto katika mabara yote kwenye sayari yetu nzuri, na fursa ya kulinda na kurudisha bionuwai kwa baadhi ya mifumo ya ikolojia yenye thamani zaidi ulimwenguni. Ndio maana tunazingatia Afrika.

Kuwawezesha wakulima kupitia programu za kukijanisha

Katika program zetu zote za kurudisha mazingira tulizonazo, tunatafuta njia bora za kushirikiana kwa karibu na washirika na jamii. Faida dhahiri ya kijamii na kiuchumi kwao pia inatiwa moyo kwa kuhusishanisha  vitu hivo  ili tuweze kuhakikisha mipango hiyo ni endelevu.

children raindance

Watu wakisherekea wakati tamasha la utengenezaji wa mvua Tanzania. 2019

KUANZISHA MAPINDUZI YA KIJANI

Tazama hadithi yetu

Ikiwa tunataka kuipooza  sayari kwa muongo mmoja, kila mtu anahitaji kuwa kwenye mabadiliko. Nguvu ya vyombo vya habari, mawasiliano, taarifa na teknolojia ya kisasa hutumiwa kueneza ujumbe wetu na kuongeza wigo.

Lengo letu ni kuhamasisha, kuunganisha na kuwezesha kizazi kizima, kukuza harakati za kurudisha mazingira.

poster
woman digging

UNGANA NASI CHIMBA

Pamoja tuko kasi, dhamira yetu ni kukijanisha Afrika kwa miaka 10 ijayo, pamoja na mamilioni ya wakulima na pamoja na wewe. Huu ni muongo wa kufanya. 

Ungana nasi. Chimba . Upooze ulimwengu.

MIRADI YETU

MIRADI