Timu na Bodi
Kuhusu Sisi
Kutana na timu yetu na bodi!

Njia ya kufanya kazi
Timu yetu inajumuisha wataalamu kutoka sehemu tofauti: sayansi, makampuni, masoko na mashirika yasiyo kuwa ya kiserikali. Haya ndio miiko yetu:
Malengo-Tumaini – Utayari – ushirikiano- Ujasiriamali
Tunaleta matokeo makubwa kupitia ushirikiano wa karibu na wafanyakazi wa kujitolea wa ndani na kimataifa, mashirika na makampuni. Kutoka kwenye mashirika yasiyokuwa ya kiserikali hadi mashirika ya utangazaji: Kwa kuunganisha nguvu na washirika wadogo na wakubwa tunaboresha programu zetu za kukijanisha na shughuli za kampeni haraka na kwa ufanisi kwa kadiri inavowezekana.
Je, ungependa kuwa sehemu ya timu yetu?
Kutana na timu yetu Timu

Kate Nkatha Ochieng

Bea de Andrés

George Omollo

Tessa Witte

Felix Oriwa

Simon Kagima

Daniel Kishoyian

Karim Zidane
Kutana na Bodi ya Usimamizi Bodi ya usimamizi
Kutana na bodi ya ushauri Bodi ya ushauri

Volker Schlöndorff


